CCTV CAMERA

CCTV CAMERA

Tunasambaza na kufanya ufungaji wa kamera za usalama kutoka chapa zinazoongoza duniani kama vile Hikvision, Dahua, na Tiandy. Iwe unahitaji kamera rahisi za Wi-Fi za mtindo wa balbu au mfumo mkubwa wa kamera za IP (IP Cameras) kwa ajili ya viwanda na majengo makubwa, tunayo suluhisho lako.

Bei za vifurushi vyetu vya CCTV:

Aina ya Mfumo / KameraSifa KuuBei (Tsh)
Bulb WiFi CameraKamera ya mtindo wa balbu, haihitaji nyaya nyingi, inaunganishwa na simu kwa kutumia Wi-Fi, ina uwezo wa sauti na mwanga.150,000 /=
Set ya Kamera Nne (4)Inajumuisha kamera 4 (Hikvision/Dahua), mashine ya kurekodia (DVR), waya, na vifaa vyote vya ufungaji.900,000 /=
Set ya Kamera Nane (8) – IP CameraIP Cameras za kisasa kabisa zenye picha angavu sana (High Definition) na uwezo wa kuona usiku vizuri, DVR na ufungaji.1,400,000 /=
Set ya Kamera Kumi na Sita (16)Inafaa kwa maeneo makubwa kama maghala, shule, hoteli au ofisi kubwa. Inajumuisha kila kitu na ufungaji.2,000,000 /=