ASALI MBICHI

Asali yetu inavunwa kutoka kwenye misitu ya asili nchini Tanzania. Haijachanganywa na maji, sukari, wala kiungo kingine chochote—ni asali mbichi inayofaa kwa tiba na matumizi ya kawaida ya kila siku.

Bei za Asali Yetu:

  • Lita 1: Tsh 10,000 /=
  • Lita 5: Tsh 50,000 /=
  • Lita 10: Tsh 100,000 /=
  • Lita 20: Tsh 200,000 /=