GPS TRACKER

Imarisha ulinzi wa chombo chako cha usafiri dhidi ya wizi au matumizi mabaya. GPS Tracker zetu zinakuwezesha kujua chombo kilipo muda wowote kupitia simu yako ya mkononi, kuzima chombo ukiwa mbali, na kupata ripoti ya mienendo yake.

Bei za Kufunga GPS Tracker:

  • Pikipiki (Bodaboda): Tsh 150,000 /=
  • Bajaji: Tsh 180,000 /=
  • Gari Ndogo (Saloon Cars/SUVs): Tsh 250,000 /=
  • Gari Kubwa (Malori/Mabasi): Tsh 300,000 /=