MAFUTA YA KUPIKIA

Sema hapana kwa mafuta yenye kemikali hatari. Afya ya moyo wako ndio kipaumbele chetu.

  • Mafuta ya Alizeti (Sunflower Oil): Mafuta safi yasiyo na lehemu (cholesterol), yanayochujwa kwa umakini ili kulinda afya yako.
  • Mafuta ya Mawese (Palm Oil): Mafuta asilia ya mawese kutoka kwenye michikichi safi, yanafaa sana kwa mapishi mbalimbali na kuongeza virutubisho mwilini.

Vipimo Vinavyopatikana (Lita): Lita 1 | Lita 5 | Lita 10 | Lita 20