Tunasambaza na kufanya ufungaji wa kamera za usalama kutoka chapa zinazoongoza duniani kama vile Hikvision, Dahua, na Tiandy. Iwe unahitaji kamera rahisi za Wi-Fi za mtindo wa balbu au mfumo mkubwa wa kamera za IP (IP Cameras) kwa ajili ya viwanda na majengo makubwa, tunayo suluhisho lako.
Bei za vifurushi vyetu vya CCTV:
| Aina ya Mfumo / Kamera | Sifa Kuu | Bei (Tsh) |
|---|---|---|
| Bulb WiFi Camera | Kamera ya mtindo wa balbu, haihitaji nyaya nyingi, inaunganishwa na simu kwa kutumia Wi-Fi, ina uwezo wa sauti na mwanga. | 150,000 /= |
| Set ya Kamera Nne (4) | Inajumuisha kamera 4 (Hikvision/Dahua), mashine ya kurekodia (DVR), waya, na vifaa vyote vya ufungaji. | 900,000 /= |
| Set ya Kamera Nane (8) – IP Camera | IP Cameras za kisasa kabisa zenye picha angavu sana (High Definition) na uwezo wa kuona usiku vizuri, DVR na ufungaji. | 1,400,000 /= |
| Set ya Kamera Kumi na Sita (16) | Inafaa kwa maeneo makubwa kama maghala, shule, hoteli au ofisi kubwa. Inajumuisha kila kitu na ufungaji. | 2,000,000 /= |
