NAFAKA

Tunatunza ladha halisi ya chakula cha Kitanzania kwa kukuchagulia nafaka bora kutoka mashambani.

  • Mchele: Mchele wa kunukia wenye daraja la kwanza, hauna mawe wala uchafu.
  • Maharage: Maharage safi yasiyo na wadudu na yanayoiva haraka.
  • Karanga: Karanga kavu na tamu kwa ajili ya afya yako.

Vipimo vya Ufungashaji (Kilo): Kg 1 | Kg 5 | Kg 10 | Kg 25 | Kg 50

(Tunaleta popote ulipo kwa oda za jumla na rejareja).